...wanaouza dawa za asili na kusema kwamba, dawa hizi zinatibu magonjwa mbalimbali, inatibu kisukari, inaitibu UKIMWI, inatibu COVID, inatibu nguvu za kiume n.k". Amesema Mhe. Nyongo. Mhe. Nyongo ameendelea kusisitiza kuwa Serika...
...jamii ulio jumuishi na kuratibiwa, na kupanga kwa ajili ya kurejesha na kuimarisha mifumo ya afya iliyoathiriwa na janga la COVID-19. Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema hayo leo Agosti 28, 2024 wakati akitoa taarifa y...