Customer Feedback Centre

Ministry of Health

NCHI WANACHAMA AU ZAJIFUNGIA KUSAKA MWAROBANI WA GHARAMA ZA MATIBABU.

Posted on: May 25th, 2024



Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe ameongoza kikao mwambata (side event), kilicho wakutanisha nchi wananchama wa Umoja wa Africa (AU) na Africa CDC kujadili namna ya nchi za kiafrika zitakavyopata rasimali za kugharamia utekelezaji wa afua za Afya.

Kikao hicho kimeazimia kutafuta vyanzo mbalimbali vya fedha vitakavyowezesha nchi wananchama kutoa huduma bora kwa wananchi wake ifikapo mwaka 2030.

Kikao hicho ambacho kimefanyika Mei 25,2024, kikikutanisha Mawaziri wa Afya wa nchi wananchama huku Tanzania alikuwa mwenyekiti wa kikao ambapo Dkt. Magembe alikuwa