Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Ally Mwalimu akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara yake katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mei, 07, 2019 Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akijibu hoja za wabunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mei 07, 2019.




