Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akikagua makazi ya wazee wasiojiweza ya Kilema mkoani Bukoba

Waziri Ummy akitoka kukagua jiko lililopo kwenye makazi hayo

Waziri Ummy Mwalimu akisalimiana.na baadhi ya wazee waishio kwenye makazi haya

Balozi wa makazi hayo akipokea zawadi toka kwa waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto mara baada ya kuwatembelea na kujionea changamoto zinazowakabili.Waziri Ummy amewaahidi kuwachangia mfuko mmoja wa sukari kila mwezi

Feature News & Events

Go to top