Waziri  afya ,maendeleo ya jamii,jinsia ,wazee na watoto Ummy Mwalimu akiongea na wajumbe wa  baraza jipya  la usajili wa wataalam wa afya ya mazingira nchini(hawapo pichani) kushoto ni Mganga  Mkuu wa Serikali Prof.Bakari Mohammad

Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo pamoja na maofisa mazingira wakifuatilia hotuba ya Mh. Waziri Ummy Mwalimu

Mwenyekiti mpya wa baraza la usajili wa wataalam wa afya ya mazingira nchini  Bartholomayo Ngaeje(katikati) akitoa neon la shukrani kwa waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto(hayupo pichani) mara baada ya kuzinduliwa kwa baraza hilo,kulia ni msajili wa baraza hilo Iddy Hoyange na kulia ni njumbe wa baraza hilo toka ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali,hafla hiyo imefanyika kwenye ukumbi wa wizara hiyo

Waziri Ummy  Mwalimu akimkabidhi cheti cha Uongozi Mwenyekiti wa awamu ya kwanza Fabiani Magoma,ambapo baraza hilo uongozi hutumikia kwa miaka mitatu

Feature News & Events

Go to top