Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza na madakitali wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro juu ya kuendelea kukemea wanachi  kuwashambulia watoa huduma za Afya, nakuwaomba watowa huduma za Afya kuwa na kaulizuri kwa wananchi wanapo wahudumia,leo Mkoa wa Morogoro.

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Steven Kebwe,akizungumza na madakitali wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro akifafanua jambo Mkoa wa Morogoro.

Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitembelea odi za wagonjwa.

Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwasikiliza wananchi matatizo yao.

Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro

Feature News & Events

Go to top