Home
 
Roles
 
Organisation Structure
 
Programmes & Projects
 
Agencies & Associations
 
Regulatory Bodies
 
Health Facilities
 
Health Facility Registry
 
Health Services
 
Health Indicators
 
Diseases Report
 
Documents
 
Links
 
Tenders
 
Staff Webmail
     
   
     
 
Home > News in Detail
22nd January 2010

JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

 

 

Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anakaribisha maombi ya kujiunga na kozi mbalimbali zinayotolewa na Wizara ya Afya kwa mwaka wa masomo 2010/2011. Kozi zinaotangazwa ni:  

 

Kozi za Stashahada:

1.                  Tabibu

2.                  Fundi Sanifu Meno

3.                  Tabibu Meno

4.                  Afisa Afya ya Mazingira  

5.                  Afisa Uuguzi

6.                  Fiziotherapia (Physiotherapy)

7.                  Optometria (Optometry)

 

Kozi za Cheti

1.                  Fundi Sanifu Maabara Wasaidizi

2.                  Tabibu Wasaidizi

3.                  Uuguzi Ukunga

4.                  Mtunza kumbukumbu za Afya

Muda wa Masomo:

 

Miaka mitatu kwa kozi za Stashahada na miaka miwili kwa koz za cheti

 

Sifa za Muombaji:

  • Awe amemaliza kidato cha IV au VI kuanzia mwaka 2002 na kuendelea
  • Awe amemaliza kidato cha IV kwa kozi za cheti
  • Awe amepata sio chini alama ya D kwa masomo yote ya Sayansi kwa kozi za Stashahada na alama D kwa somo la Baologia kwa kozi za cheti.

Kwa wale waliomaliza kidato cha sita na wanahitaji kujiunga na mafunzo ya stashahada wawe na alama isiyopungua E kwa masomo yote sayansi.

  • Kufaulu somo la Kiingereza na Hisabati ni faida.

 

Muda wa mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 30 April, 2010

 

Muhula wa masomo utaanza tarehe 20  Septemba, 2010

 

Maombi yote yatumwe kwa:

 

 Katibu Mkuu,

 Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,

 S.L.P. 9083,

 Dar es Salaam.

 
 
judfhdsjf
© 2005 Ministry of Health and Social Welfare